Skip to product information
1 of 1

Tan Business

Kuanzisha Biashara Endelevu

Kuanzisha Biashara Endelevu

Regular price 3,000.00 TZS
Regular price 3,000.00 TZS Sale price 3,000.00 TZS
Sale Sold out
Tax included.

Kitabu hiki kimetayarishwa kutokana na mwitikio mkubwa niliopata, kutoka kwa wadau, walio ona video yangu inayoitwa ‘Jinsi ya kuanzisha biashara mpya

Video inapatikana kwenye You Tube Channel www.youtube.com/alimwambola

Nimekuwa nikipata simu pamoja na SMS messages nyingi kutoka kwa wadau ambao wamekumbana na chanagamoto mbali mbali, wakati wakiwa katika harakati za kuanzisha biashara mpya

Kitabu kina chapters 16 na kurasa 49 katika mfumo wa soft copy

Materials

Shipping & Returns

Dimensions

Care Instructions

View full details